Bantu Knots Hair Do Inspiration From Ciara
Ciara ametoa new video Freak Me Out and we love her Bantu knots and the way wamevaa Vitenge inshort the Video is amazing ,love the dance moves too. Sio kitu kipya but kumuona Ciara anavaa vitenge tunajivunia sana u Africa wetu. Mambo ya makeup free hapa hata nyusi hazikutengenezwa  Legs for days… (0 comment)

Met Gala headpieces Zilizotu Impress
 Well Met gala ishapita na we all know beyonce alivaa before this theme ,maana Beyhives wamechafua mitandao huko. Bey alishavaa kwenye Grammy 2018 huu muonekano But her head piece ili stole the show Mwaka huu 2018 kwenye Met Gala tunaona walivyovaa Rihanna Priyanka Chopra  Rosie Huntington-Whiteley Sarah Jessica Parker Emilia Clarke Cardi B  Blake lively… (0 comment)

Issa Trend ::: The New It Hair Style
Are these fashionistas telling us tubadilishe hair style zetu tuhamie kunyoa na haka ka way tuweke ,waweza kuweka color pia .The hair do is just so chic naona wote walonyoa hivi wamependeza isije kua wana damu nzuri mnajuaga ile unapendeza mtu anasema unadamu ya nguo kumbe umefanya outfit planning ndo hii sasa wamenoga. Da Shamim… (0 comment)