Teknolojia ilivyompa kijana Mtanzania Given Edward  tuzo ya Malkia Elizabeth
Tanzania imeendelea kusikika na kuvuma katika anga za kimataifa hasa katika sekta ya elimu, hii ni baada ya mtanzania Given Edward kushinda tuzo ya Vijana ya Umoja wa Ulaya (European Youth Awards- 2018) inayowatambua vijana wanaotumia teknolojia kuleta matokeo chanya katika jamii. Given ameshinda tuzo hiyo kupitia programu yake ya simu (App) ya Mtabe  inayowasaidia… (0 comment)

Rest In Peace Ruge
Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amefariki dunia usiku huu Februari, 26 akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameungana na Watanzania kuomboleza kifo hicho huku akituma salamu za pole kwa wafiwa wote wakiwemo Ndugu, Jamaa na Marafiki wote. Dr John Magufuli✔@MagufuliJP Nimepokea kwa… (0 comment)

Training  ya  Instagram For Business Bootcamp inayoandaliwa na 8020 Media Ltd
INSTAPRENEUR AFRICA Je weye ni mmoja wa wajasiriamali watumiao instagram kama Duka? . Unatumiaje instagram yako? Wenzio wanatumia kupata pesa kwa vipi? Ungana nami sambamba na team yangu tukuelekeze . Najua uko na duka au office au biashara lakini una instagram unapost nini njoo tukuelekeze chakupost . #instagramforbusiness sambamba na #businessTips toka kwa patners wetu @nmbtanzania @ley_home_hotel_appliance @shuledirect #DisanacoEnterprises Cc @sarahmauki… (0 comment)

Trending Party Theme in Bongo ni ROYAL TEA PARTY + How Blandina Njau and Friends Slayed at the Party
IT’S OFFICIAL KWA BONGO SASA HIVI THEME YA PARTY NI TEA PARTY IWE BRIDAL SHOWER ,BABY SHOWER WENGI WANAFANYA TEA PARTY ,SIJUI NI SABABU YA ROYAL WEDDING YA PRINCE HARRY NA MEGHAN MARKLE AU PEOPLE JUST LOVE THIS THEME WAMETOKEA KUIPENDA SANA. Now Blandina Njau and her friends had this amazing Royal Tea party where… (0 comment)

DStv Yawasha Moto wa Kombe la Dunia 2018
Wateja wote wa DStv watapata mechi zote 64 LIVE kuanzia kifurushi Bomba kwa sh.19,000 tu, Mechi zikiwa kwenye mfumo wa HD na pia zikitangazwa kwa lugha mbalimbali ikiwemo lugha yetu bora ya Kiswahili na watangazaji nguli wenye uzoefu. Pia Mteja wa DStv ataweza kuangalia mechi za Kombe la Dunia akiwa mahali popote na wakati wowote… (0 comment)

This Week On DStv
Wikiendi hiyoo inanyatia nyatia, wapenda soka kama nawaona vile wakila Sikukuu miguu juu, sasa Wakali wa soka DStv wanataka kunogesha zaidi sikukuu yako, shuhudia mechi kali za Premier League. Mashetani wekundu wanakutana na viponde Swansea City, Je mdogo atampiga mkubwa? ukweli utajulikana baada ya dakika tisini siku ya jumamosi saa 11 jioni,  ndani ya SuperSport… (0 comment)

Wiki hii kwenye DStv!
Ni wikiendi nyingine tena na Stering DStv anakuletea mtanange wa kombe la FA hatua ya robo fainali, upande huu ni Man united pembeni ni Brighton, mpira unawekwa kati soka lipigwe, Je Man United watachomoka na ushindi ama watalala doro tena kwa vibonde? Mimi na wewe hatujui ila tutashudia wenyewe LIVE, Jumamosi hii saa 4.40 usiku… (0 comment)