Missing Gossip Girl???Blake Lively is here with 6 Killer Outfits to promote A simple Favor
Most of us knew her from ile hit series ya Gossip Girl akicheza kama Serena van der Woodsen,but through the year ameweka kuendeleza jina lake na kufanya kazi nyingi zaidi,Ni mama,na mke lakini pia ni fashionista sababu when she steps outs ,well all eyes zinakua kwake. Anamovie mpya anafanyia promo kwa sasa inaitwa A simple favor… (0 comment)

Mh.Jokate Asema Alikata Tamaa ya Kila kitu kwenye Maisha Yake Ila Fan wake akampa nguvu
From ulimbwende,u fashionista to Politics Hongera Jokate kwa kuchaguliwa kua Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe .Yes Jojo aliteuliwa na Mh.Raisi Joh Pombe Magufuli kwenye uteuzi alioufanya July 28 2018 . Wengi wamempongeza Jokate kwa kuteuliwa kwenye nafasi yake hii,Na kwa maraya kwanza baada ya muda mrefu kua kimya amepost kwenye instagram page yake akisema haya  Amini… (0 comment)

Lady Gaga’s new Style is everything
Lady Gaga is recording right now ,sasa amekuja na style yake mpya ya ku slay akiwa anaenda studio ,sio mchezo,she means business. Kila siku akiwa na new outfits sometimes hata more than 2 outfits in a day ,sababu anajua atapigwa picha na kukutana na fans wake. love the riding helmet, trench coat, white lace-up boots,… (0 comment)

FASHION TANZANIA:JINSI YA KUVAA VIJASTI/CROP TOPS
CROP TOP ZIMEKUWA KWA FASHION MUDA NA ZIMPENDWA ILA WENGINE WANASHINDWA WAVAEJE MAANA WENGI KUACHA TUMBO NJE ITS NOT THEIR CUP OF TEA CHEKI HAPA MAY BE WAWEZA PATA NSPIRATION NAWE UKAJARIBU 1.PENCIL SKIRT:WAWEZA JARIBU NA PENCIL SKIRT KWABA SKIRT ITASAIDIA KUFUNIKA TUMBO  2.HIGHWAISTED PANTS :PIA MNAOWEZA KUVAA CROP TO NA KUACHA TUMBO NJE  3.FULL SKIRT… (0 comment)