Video::Couple Outfit Ideas
#Issatrend kwa sasa huko instagram watu wana anza kupunguza kupost picha now ni video zaidi from Instagram ,models ,fashion influencers its all about how to style pieces kwa video not maelezo na picha anymore. Ntawaletea series za hizi video so we can all perfect out style game,here ni couple wanatuonyesha how they dress up,hope it… (0 comment)

Jacqueline Mengi’s Earrings on Repeat
Re rocking is nothing new to the world,we see it kwa wenye hela na wasio nazo,there is nothing wrong with it ,japo watu maarufu huwa tuna wa question kwanini wamerudia jamani kua na hela haimaniishi kwamba vitu wanavyovaa hawavipendi na havihitaji kurudiwa . Jacque’s drop earrings za silver amezivaa twice in a week which means… (0 comment)

How to Style Bold Colors;Yellow
I think sasa hivi colorz ambazo ziko bold kama neon zinavaliwa sana ,color inayo scream out loud na wengi tunaziogopa but i have few suggestions down here ucheki and give it a try sio lazima uvae head to toe,waweza anza na one item then go from there. Kama waona ina shout sana kill its vibe… (0 comment)

Daring
I love when fashionistaz try new things sometimes tunachoka styles zao,and when we see them change then we get excited kuona how items can be styled differently.… (0 comment)

Elizabeth Michael ,Wema Sepetu walivyojiandaa na Tuzo za SZIFF.
Tuzo za SZIFF zimefanyika jana ,japo maneno yamekua mengi kwenye washindi wa tuzo hizo.Hili nawaachia wadau wa Filamu bongo muendelee nalo. Am into beauty ,hair and outfits za tuzo hizo,Tuanze na jinsi mastaa hawa walivyojiandaa na tuzo hizo from makeup,hair na outfits. Japo sio zote picha tunazo tataendelea kuziongezea as time goes. Hamisa Mobetto makeup… (0 comment)

2019 Brides::Baloons kwa Veil, Yes or No??
Well Celiakritharioti haute couture SS’19 amekuja na kitu kidogo cha tofauti kwenye fashion show yake ambayo inafanyika huko Paris kwenye Paris Haute Couture Fashion Week! Amewaletea bride a not your avarage veil sababu hii ina baloons za pinka and white na inapepea tu huko juu tofauti na the normal ones we all know of Sasa kwa… (0 comment)