Tanzania Fashion Festival 2018
Tanzania Fashion festival debuts in Dar   ! Tanzania fashion festival is a new event in Dar focusing in showcasing the up and coming talent in Tanzania fashion at a casual, fun and fabulous atmosphere. It is an annual summer event that is focusing on the trendy market and fashion conscious market of Tanzania The first… (0 comment)

Grace’s Mahari and Engagement Party
Good Morning Issa Beautiful Monday and we are celebrating Grace today ambaye alikua engaged on the weekend,hongera Grace,tunakutakia kila la kheri,we hope maandalizi yote yataenda poa Insha Allah. Here is how the party went down. Makeup:@touchedbylj Picha:tasenphotography nguo:mamaHalima tailoring Kitenge:kabintispecial Mnaopenda Mishono idea hiyo blue and yellow When you like it ,you put a ring… (0 comment)

WALE WA FASHOOON :::TANZANIA FASHION FESTIVAL  YAJA
Tanzania Fashion Festival is one of a kind fashion event in Dar..that brings together fashion shows, Dj music and dance,Jazz music and so much more. It’s an outdoor summer event happening at Double Tree by Hilton garden and on the 29.9.2018 from noon to midnight Kazi yetu 8020fashions as a media sponsor is to influence… (0 comment)

AOUN’S BAG PARTY,Watu walivyo Damshi Kama Wote
Kudamshi kama wote Aunt Miriam alifanya Bag Party ya kijana wake na wakina Mama walidamshi hatari,naona color ambazo zilitawala ilikua ni Purple na Pink . Magele na malemba nayo yalikuwepo,make up kwa sana watu walipendeza haswaaa. Kingine Bag party hii inaongoza kwa SELFIES jamani selfies zipo za kutoshaaaaaa,kama zote Naombeni picha ambazo mmesimama tuone Mishono… (0 comment)

#TBT :: Khadija Mwanamboka For NIDA TEXTILE wazindua nguo kuwaunga Mkono wakulima wa Pamba Tanzania
Mbunifu wa mitindo Tanzania Khadija Mwanamboka (VVK) amefanya collabo na NIDA TEXTILES kuwapa wa Tanzania mavazi ya bei nafuu pamoja na  kuwaunga mkono wakulima wa zao la pamba Tanzania,Kwenye project Khadija for NIDA  wamekuja na nguo mbalimbali za kike kiume na hata kwa watoto pia Kuhusu size Khadija amejitahidi sana kuhakikisha anafata International size chats,japo… (0 comment)

GHANA MUSIC AWARDS 2018
Issa Choose day ,leo tunachagua red carpet ya (VGMA )Vodafone Ghana Music Awards 2018 Siwajui sana ma celeb wa Ghana kama ninavyowajua wa Nigeria but they are real good kwenye kuvaa katika events kama hizi. here are our best dressed pic Host alikua ni Berla Mundi she wore 3 dresses  Look one in this red… (0 comment)