Toa Weusi Kwa  (Pubic Areas) Mapajani na Kwapani Kwa Kutumia Hizi Simple Ingridients
Kuwa na Mapaja meusi au kwapa jeusi kweli ni issue wanayoface wanawake wengi sana so usishangae wala kwasababu ur not alone,mtu unakuwa na fair skin ila hizo areas ni korofi zenyewe ndo unakuta ngozi ni nyeusi inaboaje????Ila am sure unawaza kwanini una hilo tatizo i got you covered nimewasakia suluhisho ,Sababu kubwa ni ile constant… (5 comments)

NJIA SABA ZA KUKUSAIDIA KUACHA KUKOROMA (SNORING)
Na wewe ni mmoja wapo wa wanaokoroma wakilala???Asilimia 45% ya watu wazima inasemekana wanakoroma occasionally ,wengine hata mnawatania wenzenu wanaokoroma sio issue.Ila snoring ina BOAA ”Wale wa ndani ya ndoa huwa yaleta vijiproblems maana waweza usiweze kulala kabisa kama mwenzio anakoroma na wengine huwa wana hama hadi vyumba si mchezo . Sio tu kukoroma kuna… (2 comments)

#TBT :: UNA STRESS????VYAKULA HIVI  VITAKUSAIDIA KUPUNGUZA STRESS
Tucheki leo vyakula vinavyosaidia kupunguza stress ukiona stress zimezidi muone daktari just kidding ,stress zikizidi muone mshauri Kuna ile sms inazunguka kwa watu inasema STRESS NI PALE UNAPOKUTA MISSED CALL YA MANFONGO KWENYE SIMU YA MKEO  HAINAGA USHEMEJI TUNAKULAGA  SPINACHMAPARACHICHIALMONDS SALMONMILKGREEN TEAORANGESBLUEBERRIESDARK CHOKOLATEBROWN RICE Ukihitaji kujua zaidi soma HUMU ,EATINGWELL… (0 comment)

Tumia Vitu vya Jikoni kwako Kufanya Magoti na Viwiko vya Mikono kua laini
Unaweza kua na ngozi laini sana kwenye uso wako au mwili kwako lakini linapokuja swala la viwiko vya mikono/elbows au magoti case inakuta tofauti sana sababu unakuta kunakua na weusi,roughness na hata kua na vipele au unakuta pamebabuka/ngozi kutoka toka ,simply sio palaini. Haya ni matatizo ya kila siku na wanawake wengi ni swala linalotukumba… (0 comment)

Si rahisi serikali kuagiza tohara kuwa lazima kwa wanaume – Dkt Kigwangalla
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa si rahisi kwa serikali kuagiza tohara kuwa lazima kwa wanaume wote nchini japo kuwa tohara ina faida kubwa sana kiafya kwa wananchi. Dkt Kigwangalla maeyazungumza hayo leo Bungeni mjini Dodoma, wakati akijibu hoja za wabunge bungeni ambapo amesema kuwa wizara yake… (0 comment)

Pamba na Afya yako ::17 Days Diet Day 7 to 11 (Part 3)
#17daysdiet#PambananaAfyayako#30dayshealthychallenge haya tuendelee last post nilishare diet ya kuanzia siku ya 1 hadi ya 6 ?????? . Leo nimeshare diet ya siku 7 hadi 11. . Naomba niwasisitizie tu jamani msistushwe na haya majina ya vyakuwa (si mnawajua wazungu kwa mbwembwe) nimewatolea mfano hapo ya picha #juliennecarrotukiona hivi unaweza kusema hii diet siiwezi but ni carrot ?… (0 comment)

Pamba na Afya yako ::17 Days Diet Day 1 to 6 (Part 2)
#17daysDiet Hi #teamhealthylifestyle kwa wooote mloomba niwatumie email watu zaidi ya 150 kwa kweli mmeni impress kwa kuona kuna uhitaji na watu mnajali kama sio kutamani kuwa na afya bora kwa kupunguza uzito kwa njia salama na yenye afya Cc @hamisi_kigwangalla @ummymwalimu . Na kwa hilo nimeamua mbali na changamoto zoote na majukumu nilonayo nitadedicate muda wangu kuweza kumsaidia… (0 comment)

Pambana na Afya yako ::17 Days Diet na yote unayohitaji kujua Part 1& 2
#detoxication eeee katika ile challenge ya #PambananaAfyayako??‍♂️wiki hii ni wiki ya kutoa sumu mwilini, kuna njia mbali mbali mie nimeamua kufanya zote, sababu ukifanya kitu kimoja muda mrefu inachosha na unajishindwa kutimiza lengo . Ukiachi hii ya kunywa smoothe ya mboga mbona kuna ile unakunywa Maji tu kwa siku 2-3 mfululizo ???? lazima ukae Cc @Chefkile ndo mtaalam wa… (0 comment)