Work Wear Ideas for this Week
For my 9 to 5 ladies or anyone who means business and want to serve slayage kwenye mfumo wa ki corporate zaidi ,au una meeting na mtu ambaye unaka kwenda formal zaidi. VB serving us whide leg pants and white top bow skirt and striped shirt paper bag floral pants na top nyeupe  love this… (0 comment)

Work outfit Ideas for Our Hijab Sisters
Today focus itakua kwa dada zetu wanovaa Hijab kutoka hapa hapa Bongo,from their mitandio,skirts ,suruali dresses etc. Hope mtakua inspired na kuanza kuvaa hijab au at least kuanza kupenda ,sababu hijab mtu akivaa anapendeza sana mradi tu ujijulie mwenyewe style yako na mwili wako. Mima’s in a peplum top [aired with a pencil skirt uzuri… (0 comment)