Zurii Beauty Academy
ZuRii Beauty Academy ni Chuo kinacho toa kozi za urembo katika ngazi ya Certificate na Diploma na kimesajiliwa na VETA. Muda wa Kozi: Cheti ni Miezi (4)International Diploma ni Miezi Saba (7) Muda wa Mafunzo: Saa 3 asubuhi mpaka saa 9 mchana Jumatatu mpaka Ijumaa Elimu itolewayo:.✔Utunzaji wa Ngozi (Facial Therapy) ..✔Kucha (manicure/pedicure)..✔Nywele styling na… (0 comment)

OFA YA KUSOMESHA MSICHANA MMOJA #ZURIIBEAUTYACADEMY
Kama nilivyoahidi katika kusupport juhudi za my sisto @jestinagmerunitamsomesha msichana mmoja katika chuo na nitamsimamia aweze pata ujuzi / kazi /kipato na ashiriki #zezekibubuchallenge hadi#tuonanedesemba•VIGEZO NI1⃣ pendezeka/ JIPENDEKE jina lake HAPA na fuata ukurasa wa @zuriibeautyacademy2⃣Awe tayari kusoma na tuandikie sababu za wewe kumpendekeza / kujipendekeza yeye 3⃣tuma email kwenye INFO@ZURIIBEAUTYACADEMY.COM AU TUANDIKIE BARUA KISHA ILETE KATIKA OFISI ZA ZURII zilizopo #darfreemarketmallfirstfloor#urembofursa#zuriibeautyacademy… (0 comment)

ZURII BEAUTY ACADEMY urembo Fursa
UREMBO FURSANdio slogan ya ZURII BEAUTY ACADEMY @zuriibeautyacademy•1️⃣Kwa wewe mmiliki wa salon 2️⃣wewe muajiriwa au uliyejiajiri unahitaji kusaka #sidehustlejob3️⃣wewe mwanafunzi ambaye una ndoto ya kuanza kukuza kipato chako ukiwa chuoni na hata umalizapo chuo uwe na pakuanzia•Ukifunzwa na wataalam waliobobea katika masuala ya urembo huku ukifundishwa katika vifaa vya kisasa kabisa •Kwa garama ya kuanzia 500,000 tu (SPECIAL… (0 comment)

Hair Guru wa Bongo Aristotee Ataja Mastaa Bongo wanaovaa Nywele za Ghali Sana .
Aristotee anajulikana sana kwa ujuzi wake wa nywele among wadada wengi sana mjini ambao wanaopenda sana hizi nywele mwaita Lace wigs .Anajiita mzee wa kutofautisha kwamba kwake anauza top hair za quality na bei ambayo pia imeshiba. Alipofanya mahojiano na Ayotv alisema kwamba Irene kwake ni namba moko au mbili sababu halalamiki bei,harudii nywele na… (0 comment)

Lavie Cosmetics Tz waja na Eye Shadow Palette
Lavie Cosmetic Tanzania wameongeza product nyingine kwenye list yao nayo ni rangi ya eye shadow baada ya browstatic kufanya vyema na kua sold out hii  ,wameleta pallete na ni habari njema kwa wapenda makeup Tanzania. Eye shadow palette ina rangi 21 ziko very high pigmented.Wameipa jina la REIGN NOIR . Tanzania tunajivunia hili sababu tumekua… (0 comment)

JINSI YA KUFANYA FACIAL NYUMBANI / HOW TO DO A FACIAL AT HOME.
Ladies leo nimewaletea a step by step process itakayokuwezesha kufanya facial mwenyewe nyumbani. And kama kuna topic yoyote mnayohitaji kuletewa feel free kuaca comment hapo chini au tufollow kwa our Instagram page :: BONGOUZURI, acha comment au tuma DM (Direct Message) na utaletewa topic au kujibiwa maswali yako. *Toa makeup yote kabla hujaanza. STEPS. 1.CLEANSE… (0 comment)

Beauty:: Christian Louboutin Aja na Collection za  Eye Shadow za Laki Moja
The Famous red sole shoe designer anaependeza Unyayo wako sasa atapendezesha jicho lake,mwanamke jicho,anakuja na eye shadow mpya zitakua 12. 6 zitakua Matte na 6 zitakua Mettalic,kutakua na nudes na zingine nyingi. “Tape à l’oeil means eye-catching,” explains designer Christian Louboutin in a press release. “It is a woman who exposes her femininity so that… (0 comment)