JINSI YA KU BUILD EMERGENCY FUND .
Tunaendelea na series yetu ya Emergency fund leo tunacheki njia gani utumie ili uweze kufanikisha kua na akiba ya dharura 1.Save hata elf 2000 kwa siku au hata buku,ukiweka kwa mwaka mzima ni 730000. 2.Chukua asilimia kidogo kutoka kwenye paycheck yako anza na asilimia hata 10 ya mshahara. Ukifanya hivi utaweza save kirahisi na kwa… (0 comment)

Flaviana Matata kwa Kampeni ya #TodayWeWill
Flaviana Matata akiwa na wenzake wengine wanne wamekua feature kwenye Naturalizer kupitia kampeni yao ya #TodayWeWill ambayo ina hamasisha kunyanyua wengine ,kama umefanikiwa na umuhimu wa kusaidia wengine nao wanyanyuke. Flaviana ameongelea mengi akiwa kama Model na mjasiriamali akiwa Founder pia wa Flaviana Matata Foundation focus yake ipo kwenye ku empower wasichana kupitia elimu,ku give… (0 comment)

Hajis Manara Safari yake ya Soka
Kabla ya kujikita kwenye michezo @hajismanara alipitia changamoto na mafanikio mengi, tangu utoto alikua na nyota ya kipekee,akionyesha kusimamia vyema na kuhakikisha kupata kile anachotaka!Je Ungependa kujua mengi kuhusu yeye? Ungana Jumanne hii kwenye kipindi cha #MAISHAYANGU saa 3 usiku @dstvtanzania… (0 comment)

Ommy Dimpoz and Millard Ayo Looking Dapper
Am happy Ommy Dimpoz kapona i mean anaendelea kurecover but the worst is over,leo nimesikiliza interview yake kwa kipindi cha Joto la Asubuhi yani kapitia mengi sana,Insha Allah mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi upone kabisa. Ameachia nyimbo yake mpya inaitwa Wewe akimtukuza Allah kwa kumpa uhai ,kumponyesha pia. Akiwa na Millard Ayo kwenye interview yake ,kapendeza… (0 comment)

Our Girl Taraji P.Henson aka Cookie apata nyota ya  Hollywood Walk of Fame
Am so happy for cookie jina lake halisi likiwa Taraji P.Henson ambaye amejulikana sana kupitia seiries ya Empire imempa umaarufu sana sana.We all love her character cookie akicheza kama mwanamke machachari mwenye watoto wa tatu na wajukuu. But amepewa heshima ya star ya  Hollywood Walk of Fame ambayo ni dream ya kila celeb majuu kuipata.… (0 comment)

Jacqueline Mengi kupitia Dr Ntuyabaliwe Foundation Wazindua Maktaba Shule ya Msingi Tandale Magharibi
Jacqueline Mengi anafanya vyema sana kwenye kuhakikisha kwamba watoto wanakua na tabia ya kusoma vitabu ,kwa kujenga maktaba kwenye shule mbalimbali za Msingi hapa Dar es salaam. Juzi walizindua Maktaba katika Shule ya Msingi Tandale Magharibi,naona na wana Tandale nao walikuwepo kuwakilisha akiwepo Romy Jones,Maama Dangote na Esma Khan. Hii ilikua ahadi iliyotolewa kwamba shule… (0 comment)

Elizabeth Michael anauza Nguo zake for A good Course #savemyvalentine
Wanamuita Lulu lakini jina lake halisi ni Elizabeth Michael,amepost picha mpya kwa instagram page yake akisema kwamba valentine hii anataka kuuza nguo zake ambazo we all know ni nyingi ,nzuri na za gharama. Na fedha zitakazo patikana basi zitaenda kwa watu wenue uhitaji katika jamii . We love this initiative kwakweli,watu wengi maarufu mngefanya hivi… (0 comment)

Shuhuda za Vibubu #tellusyourstory #zezekibubuchallenge
YAAAAAAASSSSSSSSSSSSSS Tulianza mwaka na @Zezekububuchallenge,December ndo hii watu washa anza kuvuna walivyopanda.Shuhuda bado zainaendelea kwa wale waliokua na discipline wakeweza ku save hela haijalishi kama ulifata ile ya kwetu ya ku save kwa wiki ,lengo ilikua kuweza ku save . Hii iwahamasishe wengine basi kuanza tena January hii ya 2019,ambapo sasa tunaenda kwenye zezekibubudigital zaidi… (0 comment)