Spotted kwenye Runway za Victoria Secret 2017 Necklace za Shanga na Shuka za Kimasi
Am loving the way sasa hivi ma designer wengi wa nje wanaweka African touches kwenye designs zao,Victoria Secret Show ya 2017 nimeona vitu amazing na nimependa sana. Kuna wings za shanga za  Kimasai na shuka pia. Grace Bol alipendeza sana kwenye her second outfit the beads were everything Maria Borges her butterfly wings Amilna Estevao… (0 comment)

Belted African Print Suit for Men
This one is amazing,i love bold men who go out of the usual to make their looks stand out. Designer  Khristopher Aiyéh just gives me life He accessorized his Kitenge suit with a brown belt ,Am in love  How amazing is this???? he is super stylish,being a designer could not imagine otherwise      … (0 comment)

Mishono ya Jumpsuti za Ki Dada #@231
Leo tucheki jumpsuit,hizi watu wanazipenda ila kasheshe lake la kwenda chooni ndo wengi wanapozikimbia.kwa hapa kweli zinaboa ,unaweza ukae chooni hadi kama kuna foleni watu wasema unaendesha kumbe shughuli ya kuvua na kuvaa jumpsuit imekushika. Mishono iko kibao chagua upi tu ambao unakufaa wewe. mikono mifupi ya tarumbeta kama huogopi kuacha a bit of skin… (0 comment)

Bad Hair Days???Worry not we got 6 Kitenge Turban tutorials for you
Hii ni special kwa wenye nywele mnaosuka/kushonea weaving au kuvaa wigs.Kuna siku unakua na bad hair hutaki kuosha wala kuchana come on hizi siku zipo,hata sie wenye nwele fupi kuna siku hata kusokota rough dreads hutaki. Now the only thing ambacho kinaweza kuku save wewe ni Head wrap/turban ,baseball cape etc Now today tunakuonyesha 6… (0 comment)

Nomzamo Mbatha took her Zulu Culture to the 2017 Bet Awards
Tuendelee kujifunza kutoka kwa wenzetu wanaofanya vitu vizuri hata wao wanajifunza kitu kutoka kwetu.But tukiongelea ma star toka Africa wanaopeleka utamaduni wa ki Africa majuu inakua sifa kwetu sote.Na Tz stars mjitahidi kuvaa local designers pia kama Ray Vanny kwenye Bet Awards na akashinda we are very proud. Tucheki na mrembo Nomzamo ambaye alitokelezea kinoma… (0 comment)

Ka Mshono Amazing !
Kamshono amazing sana haka Kamshono Amazing sana haka kwenye video napenda zinavyo sparkle Olowogbogboro!!! Jesus Ome ihe ukwu!!! The Alpha & the Omega!!! The beginning & the end!!! The Miracle worker!!! The way maker!!! The greatest of all!!! The unchangable God!!! The healer of all disease!!! It’s you that I see ohh Jesus!!! CHAII SOMEONE… (0 comment)