Abee Natural Is Giving Us Natural hair Envy and Idea for the Valentines Day
Abee Natural loves natural hair na amekua akitoa elimu mbalimbali kuhusu nywele za natural jinsi ya kuzitunza ,mafuta ya kutumia ,style ideas kwa you tube channel yake. Kwa sasa unaweza kufanya consultation ya kukutana nae pale dahliathebeautylounge Mfollow kwa instagram yake kuona mengi zaidi @abeenaturals au ☎️+255754712421 For Valentines day anauliza how will you dress your crown???akitoa pia… (0 comment)

#TBT :: Yebo Yebo zapewa a new Look na designer Balenciaga ,Aja na Platform Crocs huko Paris Fashion Week
  Well hizi crocs watu wa fashoon walizichukia na kuona its a crime wearing them haijalishi wapi,but now Designers wanajaribu kuzirudisha and make them cool. Hii imetokea kwa Paris Fashion Week ambapo designer Balenciaga amekuja na hizi yebo tena kaziongezea na urefu mzione kama wedge hivi na wale wanaopenda height wapate za kuvaa but mmhh… (0 comment)

How to Style Floral Kimono
Kimono’s are every where now that Kim Kardashian has stopped wearing them ,we still do and we love them sababu zinasaidia sana to add some stylish touch kwenye outfit ya mtu ,can also upgrade your look from boring to a super stylish look Ways to style them Da Shamim wore black with her Kimono from… (0 comment)

Jokate Mwegelo’s Obsession With White Lately, Also in white is Hamisa Mobetto and Dorothy Kipeja
White kama ime trend hivi siku za karibuni,epecially kwa Jokate Mwegelo who is dropping bombs of outfits karibu mara tatu kwa wiki,the dosage is enough ma!!!!!! All her dresses zatoka kwa maccouture,umemtendea haki Jojo kwenye gowns zote ,kudos to you mac one shoulder dress with a peplum effect  love the details on the waist  this… (0 comment)

Trending :: Gucci  Marmont matelassé leather belt bag and this is how to style it
Right now fashionistas are obsessed with this cute GG Marmont matelassé leather belt bag,comes in so many colors kama hibiscus red chevron leather, fuchsia velvet,blue velvet ,beige chevron leather ,black chevron leather. Its versatile sababu it works as a bag and as a belt ,you wont need a belt with this belt bag goes well with a… (0 comment)