HomeUncategorized

BEYONCE ATOKELEZEA KIHINDI ZAIDI KWENYE VIDEO MPYA

BEYONCE ATOKELEZEA KIHINDI ZAIDI KWENYE VIDEO MPYA
Like Tweet Pin it Share Share Email

30B3EBDD00000578-3423029-image-m-4_1454084484141

So its a Bollywood theme kinda look for Beyonce.So Bey kashirikishwa na Coldplay kwenye music video Beyonce katinga kihindi hindi flani hivi.30B3E8F300000578-3423029-image-m-39_1454083174855

glitters and flowers was the way,the weekend video imeshutiwa huko Mumbai India na kwenye video anaonekana Bey akiwa kavalia vivazi vya mahadhi ya kihindi kutoka kwa designers duo Jani & Khosla .30B3EC9E00000578-3423029-image-m-5_1454084496636

cleavage for days 30B3E79300000578-3423029-Double_whammy_Not_only_have_Coldplay_managed_to_persuade_Beyonc_-m-41_1454083224663

hapa na na ule urembo haswaa wa wahindi.

nyimbo yaitwa Hymn for the weekend

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.