HomeMovie Time

Behind the Scenes ya Movie mpya ya Elizabeth Michael

Behind the Scenes ya Movie mpya ya Elizabeth Michael
Like Tweet Pin it Share Share Email

Elizabeth Michael yuko location na Farid Uwezo wakipika movie mpya ,yaonyesha itakua kali,na tunasubiri kazi ya Lulu kwa hamu na muda mrefu sasa amekaa kimya.

We cant wait for her new movie maana huwaga hayupo hapa ku play

Ila imeandikwa Sarafu series ,may be ni series na sio hata movies ,well tutajua mwisho wa siku lulu anacheza itakua nzuri ,hope utafanya vyema .

Anakula zake miguu ya kuku ,uswahili ndo kwetu

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.