WALONOGA WIKI HII
NI ULE MWANZO WA WIKI NA KIFUATACHO NI ILE SEGMENT YA WALONOGA WIKI WIKI HII KAMA HIVI NI MIRIAM ODEMBA MODEL ANAEIWAKILISHA VYEMA TANZANIA HUKO , ATOKELEZEA KWA FRONT PAGE YA GAZETI MAARUFU LA NEW AFRICAN WOMAN. TERRENCE J  MTANGAZAJI NA MUIGIZAJI WA THINK LIKE A MAN TOO NDANI YA BONGO SAMBAMBA NA QUEEN ALIPATA WASAA… (2 comments)

BARBIE & KENS TRADITIONAL WEDDING
KAMA WEWE NI MFUATILIAJI MZURI AU USHAWAHI ONA MOVIES ZA ANIMATION BASI HUYU MDOLI BARBIE SI MGENI,KWA AMBAO HAMJUI NI MDOLI AMABAE ANATUMIWA SANA KWEMYE MAMBO YA FASHION NA ANAHISTORIA KWAKUWA ALIANZIA KUTUMIWA MIAKA YA 1959. SO NIGERIA WAMEWALETA HAWA WADOLI NA KUPIGA PICHA ZA HARUSI ZINAZOFATA MTIRIRIKO WA HARUSI ZA KIMILA ZA NIGERIA NA… (0 comment)