INGIZO JIPYA:MULTICOLORED MANICURE
SASA HIVI KUCHANGANYA RANGI YA KUCHA IMERUDI NANDO HABARI YA MAFASHIONISTA KWA SASA. UNAWEZA KUPAKA HATA RANGI TANO TOFAUTI TOFAUTI AU ZAIDI .KWA JINA LINGINE WAWEZA ITA HII STYLE COLOR BLOCKING SINCE RANGI ZINAZOPAKWA NI ZAIDI YA MOJA AU MBILI.MING’ARO MICHORO MBALI MBALI YA MULTI COLORED  KAMA HUPENDI RANGI NYINGI COLOR BLOCK NA HATA RANGI… (0 comment)

WALONOGA WIKI HII
BI HARUSI HURUMA KWA KUFUNGA NDOA NA NATURAL HAIR FUPI, TWAKUPA HONGERA KWA UTHUBUTU ROBI AMENOGA,AMENOGESHWA NA GLAM MADAM JIGAUNI LIMEBAMBA HAKIKA ULINOGA KIKI   KIKI WE LOVE ZE DRESS ESPECIAL HII COLOR BLOCKING YA YELLOW NA BLUE IKAWA SIKU YA CASUAL KWA LULU ,HIYO STATEMENT NECKLACE IMENIBAMBA,NICE HAIR STYLE DOGO VANESA HILO JINACKLACE LIPO… (3 comments)