Jinsi Cozy Cafe itakusaidia kusave Pesa kwa kukuandalia shughuli Amazing
EPUKA MADENI SAVE PESAKwa kufanya shughuli yako @cozy__cafe@cozy__cafeOna #EdwardnaDoris walivyosherehekea harusi yao bila stress watu wachache walotoshea ukumbi umedamshi chakula pambeee vinywaji kama vyote na shazi kama lote kwa 25,000 tu kwa kila kichwa•Kwa hizi Zama zetu hizi za kubana matumizi na kuweka akiba kadiri ya uwezo wetu…. ndipo @cozy__cafe anapokuja kutuokoa kwa kufanyia shughuli hapa waepuka viiingi si wajua… (0 comment)

PricBert Kwa Usafirishaji wa vifushi salama
Je unahitaji huduma ya kusafirishiwa mzigo au document kwa uhakika na haraka?.Naomba nikutambulishe kwako kampuni ya #princbertExpress itowayo huduma ya usafirishaji wa mzigo ndani ya jiji na nje ya nchi kwa haraka na uhakika1.usafiri uhakika2.wanatrack mzigo 3.bei nafuu4.wako na stoo ( wanje ya nchi mzigo utapokelewa na atapelekewa5.wakala wa DHL pia.Special Offer #valentineoffer punguzo la kudeliver mzigo wa zawadi kwa… (0 comment)

Vyombo Vya Kisasa na Quality Pita Ley home&hotel appliances
LEY HOTEL AND HOME ITEMS WANAKULETEA VIFAA VYOTE UNAVYOHITAJI KAMA VILE COFFEE MAKER, JIKO LA GESI, RICE COOKER, MICRO WAVE ,HOME DECOR NA VINGINE VINGI. PIA NI WAUZAJI WA SILVER NA DHAHABU. SHUKA CHINI KUJIONEA BAADHI YA VITU WALIVYOKUWA NAVYO AU WAFOLLOW INSTAGRAM UWE UNAPATA DAILY UPDATES. INSTAGRAM :: Ley_home_hotel_appliance WASILIANA NAO :: 0767137877/0786137877/0655137878 Wamefungua… (0 comment)

Cozy Cafe wanatoa huduma ya outside catering
Licha ya kuwa na huduma ya chakul kizuri na sehemu maridadi ya kufanyia sherehe, @cozy__cafe pia inatoa huduma ya outside catering kwenye shughuli mbalimbali. Usisite kuwapigia ukiwa na harusi, sendoff, kitchen party au hata corporate event yako, bei zao ni rafiki na wanakupa uhuru kutengeneza menu utakayo..!… (0 comment)

MWAKALINGA, AZITAKA TAASISI ZA UJENZI KUSHIRIKIANA
MWAKALINGA, AZITAKA TAASISI ZA UJENZI KUSHIRIKIANA Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga, amezungumzia umuhimu wa taasisi zote zilizo chini ya Wizara yake kushirikiana ili kujengeana uwezo na uzoefu katika kusimamia na kutekeleza ujenzi wa miradi mikubwa kwa viwango na kasi. Akizungumza na wataalam  wa Wakala wa… (0 comment)