DStv yaja na ofa kabambe kwa wateja wake
DStv yaja na promoshenikabambe kwa wateja wake!! JumanneFebruari 19,2019. Kampuni ya MultiChoice Tanzania kupitia huduma zake za DStv imetangazapromosheni maalum ijulikanayo kama “Tia kitu, Patavituz”  ambapomtejahai wa DStv atatkiwakufanyamalipo ya mwezi ya kifurushianachotumiana kisha kupata fursa ya kuingia katika drooitakayomuwezeshakushindakifurushihichohichokwa muda wa miezimiwilizaidibilamalipo. Akizungumzawakati wa kutangazapromoshenihiyo Mkuu wa kitengo cha thamanikwa wateja, MultiChoice Tanzania Bi… (0 comment)

Taarab Sasa ni Mwendo wa Kinge (English)
Ubunifu mwingine kwenye nyimbo za Taarab ,yani hii nyimbo kama imeiamsha tena Taarab bongo maana ilikua chali sio kama zamani.Kuona labda kuikikisha upya likawajia wazo la kuandika mashairi kwa kiingereza. Nyimbo kaimba  Mwinyi Mkuu & Maina Thadei.Me nliona tu kwa mitandao ya kijamii wakiongelea lakini Maina kasema nyimbo ilitoka tangu mwaka 2016 kwenda 2017. Nawa… (0 comment)

Alla About Katty collection
Katty collection wakali wa African prints, wana material zote utakazohitaji kwa ajili ya mishono yoyote, from vitenge, batik, wax, woodin material, lace na nyingine nyingi. Pia Ni wataalam was kushona nguo za wote, men, women and kids Wanapatikana Mikocheni, Mwai Kibaki Rd. (Behind Master Club) Wafollow Instagram: @kattycollection  Open :Monday – Saturday8:00AM -7:00PM Mobile +255 757… (0 comment)

Kwa Fundi Mwashi na Wenye Kampuni za Ujenzi habari njema toka kwa Mikocheni Builders Merchants
WE NI FUNDI MWASHI?Au una kampuni ya ujenzi @mikocheni_builders_merchant@mikocheni_builders_merchantwameshusha mzigo wa mashine aina zoote ikiwemo …….mashine za welding mashine,cutting mashine aina tofauti za kukatia chuma pamoja na mbao na tiles,kuna ladder, generator nkWaone @mikocheni_builders_merchantPIGA / WHATSAPPEnglish ::0689133030Swahili ::0621436004… (0 comment)

Karl Lagerfeld Iconic Designer Afariki Dunia
Wanaopenda fashion mtakua mnajua Karl alikua ni designer kutoka nyumba tatu za fashion ikiwemo Chanel ambayo tangu mwaka 1983 alikua ni creative designer ,then Fendi tangu mwaka 1965 na pia kutoka kwenye brand yake ya House of Karl. Lagerfeld was born Karl Otto Lagerfeldt in pre-war Germany. He changed his name because he believed Lagerfeld… (0 comment)