Throwback Thursday to B2A Nyumbani
Throwback Thursday to the B2A Nyumbani ,moja ya post zilopendwa sana ,tulionyesha mbali na kushona vitenge kama nguo twaweza tumia kama vitambaa vya masofa na foronya za mito,blankets hata rugs. Shuka  Shuka a rug NIFUATE::TWITTER @8020fashions ,  TUPENDE FACEBOOK 8020 fashions… (0 comment)

THROWBACK THURSDAY TO ENGAGEMENT PARTY YA JACQUELINE MAFURU
LEO TU THROWBACK KWENYE ENGAGEMENT PARTY YA JACQUELINE MAFURU NA DANIEL,HII ILIKUWA 20 MARCH 2012 TAKRIBANI MIAKA 4 SASA. EVENT::ENGAGEMENT PARTY  BRIDE TO::JACQUE GROOM TO BE:: DANIEL MAKE UP BY::GLAMBOX PICTURE THANKS::GLAMBOX KITU CHA KASHATA HONGERA JACQUE KIPINDI HICHO LACE WIGS NDO HABARI YA MUJINI ILIKUWAAA SWAGGA HIZI ZIPO SAANA NIGERIA…..ZUKA BELLA NAIJA MY TWIN… (3 comments)

THROWBACK THURSDAY::::KUNANI?
Hii ni moja ya post pendwa za hapa 8020fashions na ilipostiwa mwaka 2012 Jan 24,ikiwa ni ingizo jipya ya hizi bags za kiume za LV. seriaz nataka jua wanaume wanabebaga nini kwenye mabeg yao…..yule kutokana na swaga zake mlichonga ngenga…huyu anaonekana kanyooka kabisa…..Haya tuambizane  kunani .… (8 comments)

TANZANIAN MODEL “CALISAH” AONGELEA KUHUSU VIKWAZO WANAVYOPATA MODELS.
Tanzanian male Model Calisah ameamua kufunguka kuhusu fashion industry yetu hapa Tanzania..ameandika katika instagram yake vikwazo wanavyopata models..kwamba ili model aweze kufanikiwa anatakiwa atoe kitu fulani..na hiko kitu sio hela..this is exactly what the model said.. CALISAH :: Tambueni hii tasnia imeandamwa na machoko (gays) sasa basi…… hawa watu wanahisi wanauwezo wa kukontro models wake… (0 comment)

NEW ARRIVALS :: T444Z HAIR FOOD YAMEFIKA
K.K.W:: #NOFAKEZONE ANGALIA SAFARI YANGU NA T444ZHAIRFOOD SISI NI MOJA WA WAKALA WA KUUZA MAFUTA HAYA NCHINI HIVYO UKIJA KWETU USIWE NA WASI WASI WA KUCHAKACHULIWA THIBITISHA KWA KUTEMBELEA WEBSITE YAO www.t444z.com KUPATA HAYA MAFUTA BORA  KABISA KWA UKUZAJI WA NYWELE ZAKO USISITE KUTUTEMBELEA DAR FREE MARKET CHUMBA NAMBA 70  NA PIA TUNATUMA MKOANI  NA… (5 comments)

TUMSAIDIE ANASAKA KIPODOZI/DR WA CHUNUSI
nina SHIDA MOJA ya muda mrefu…NINA CHUNUSI na ni muoga sana kutumia vipodozi kwa sasa kwa sababu nilishajaribu vipodozi vingi sana zamani vikafail, kiufupi ni chunusi ambazo ninazo toka navunja ungo…so kind off zipo kwenye hormone (according to some dermatologist nliowaona humu nchini) I met two dermatologists…pale AAR na mmoja yupo Mbezi Beach anaitwa Dr… (25 comments)

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam,wakiwa wamebeba baadhi ya kompyuta kati ya(20) zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation na kukabidhiwa na Mkuu wa taasisi hiyo, Renatus Rwehikiza(kulia) Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta… (0 comment)