HomeWedding

Ali Kiba and Abdu Kiba Double Reception

Ali Kiba and Abdu Kiba Double Reception
Like Tweet Pin it Share Share Email

Baada ya kufunga ndoa sasa ilibaki Reception tu ya Ali Kiba na Abdu Kiba ,ndugu wawili hawa waliamua kufanya jambo lao kwa pamoja.

Reception ilifanyika pale Hyatt regency dar es salaam,Nilipenda kwamba hii harusi ilikua na dress code Wanaume Kanzu nyekundu au cream na wanawake hali kadhalika nguo rangi hizi,kuna waliofata dress code na wengine walivaa nguo zao za Pink tu.

Watu wengi walihudhuria Kama Mh.Mama Salma Kikwete,Mh.Waziri Ummy Mwalim,Waziri Kingwangwala,Ridhiwani Kikwete na wengi wengi.

Makeup za Bibi Harusi alifanya Glammadam

Masha Allah walinoga sana

Reception ilipambwa na Kevins.Events

cake

Abdu Kiba na Mkewe Ruwayda

Bwana Harusi wao walivaa sare sare

Ali Kiba na Amina

shangwe za wageni waalikwa

Tunavyozidi kupata picha tutaongezea so endelee kuchungulia humu

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.