Abee Natural loves natural hair na amekua akitoa elimu mbalimbali kuhusu nywele za natural jinsi ya kuzitunza ,mafuta ya kutumia ,style ideas kwa you tube channel yake.
Kwa sasa unaweza kufanya consultation ya kukutana nae pale dahliathebeautylounge
Mfollow kwa instagram yake kuona mengi zaidi @abeenaturals au ☎️+255754712421
For Valentines day anauliza how will you dress your crown???akitoa pia ana idea with her curls and a cute red bow hair accessory she is rocking.