HomeSLAYER

A Man in a Tuxedo Dress Takes over Oscars 2019

A Man in a Tuxedo Dress Takes over Oscars 2019
Like Tweet Pin it Share Share Email

Kama unapenda series utakua unamjua Billy Porter mwaka jana alikua kwenye series inaitwa POSE he is so good sema ndo hivyo content yake ki Africa haikubaliki.

Ni muigizaji maarufu sana tena wa majukwaa ya live ,he loves fashion kwa wenzetu huko anaheshimika na kukubalika kisanaa.

Kwenye tuzo za Oscars za 91 mwaka huu 2019 alishangaza wengi baada ya kuvaa a tuxedo dress akiwa mwanaume japo siku hizi wanasema hakuna nguo za kike wala za kiume at least huko ughaibuni kila mtu anavaa anavyopenda yeye.

Kavishwa na designer anaitwa Christian Coriano.

Aliulizwa na Vogue inspiration ya his unapolegetically fabulous dress ilikua ni nini na hivi ndivyo alivyojibu

I’ve always been inspired by fashion. My grandmother, my mom—they were always stylish. I grew up loving fashion, but there was a limit to the ways in which I could express myself. When you’re black and you’re gay, one’s masculinity is in question. I dealt with a lot of homophobia in relation to my clothing choices. [Even] when I had my first working contract at A&M Records, I was silent for a long time. I was trying to fit in to what other people felt I should look like. When I landed a role in Kinky Boots, the experience really grounded me in a way that was so unexpected. Putting on those heels made me feel the most masculine I’ve ever felt in my life. It was empowering to let that part of myself free.

unapologetically Billy

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.