HomeUncategorized

7 WAYS TO STYLE YOUR MAN/BOYFRIEND/LOVER IN BLUE JEANS

7 WAYS TO STYLE YOUR MAN/BOYFRIEND/LOVER  IN BLUE JEANS
Like Tweet Pin it Share Share Email

Hii post ya how to style ur man naona ntai keep up maana wakaka wengi wamependa na wengi wamelalama kuwa wadada mwajihangaikia wenyewe tu wao mwawasahau.10009220_169701310044388_545704013_n

1.WITH A TEE SHIRT

A simple way to style blue jeans ni kuvaa na a t shirt na t shirt yenyewe yaweza kuwa plain au printed 12362091_1634504946809986_344137163_n

2.WAIST COAT

Njia nyingine ni kuvaa na a button up shirt kwa juu ukatupia a waist coat
916509_1064809220230871_339167667_n

3.MOTOR BIKE JACKET

hizi jackets zinafanya muonekano uwe stylish zaidi
1172947_327659667357658_1758841795_n

4.KNITTED SWEATER

An over sized knitted sweater kama hili pia can be worn with blue jeans12558290_1530003350625418_1922334129_n

5,SWEAT SHIRT

A well fitted sweat shirt looks nice on a man in blue jeans 12552302_1007004496022627_865920897_n

6.A WHITE BUTTON UP SHIRT

Hii nayo common shati na jeans ,hapa kuna two options kuchomekea au la

12106031_745564882222004_1117992753_n

7.WITH A BLAZER

Pair it with a blazer na accessories kama kofia etc

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.