HomeFashion

2019 Brides::Baloons kwa Veil, Yes or No??

2019 Brides::Baloons kwa Veil, Yes or No??
Like Tweet Pin it Share Share Email

Well Celiakritharioti haute couture SS’19 amekuja na kitu kidogo cha tofauti kwenye fashion show yake ambayo inafanyika huko
Paris kwenye Paris Haute Couture Fashion Week!

Amewaletea bride a not your avarage veil sababu hii ina baloons za pinka and white na inapepea tu huko juu tofauti na the normal ones we all know of

Sasa kwa Brides wa kisasa hii ni YES au NO kwenu nyie??au kama ungeolewa tena you think unge rock hii??Am excited na hizi social media watu wataojaribu vaa kwa version yao watakuaje??

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.