Instagram yaja Instagram Shopping
Kila kukicha Instagram inafanya marekebisho na kuboresha mtandao wao vizuri hii instagram shopping yaweza kua ndo ilisababisha mtandao huu kupotea instagram siku kadhaa ziliopita.This time wamekuja na maboresho ambayo wengi watayafurahia lakini kwa kampuni kama za Alibaba au Amazon ni tishio sababu watu watashop kupitia tu kwenye instagram App huhitaji kuingia kwa website hizo kununua… (0 comment)

Teknolojia ilivyompa kijana Mtanzania Given Edward  tuzo ya Malkia Elizabeth
Tanzania imeendelea kusikika na kuvuma katika anga za kimataifa hasa katika sekta ya elimu, hii ni baada ya mtanzania Given Edward kushinda tuzo ya Vijana ya Umoja wa Ulaya (European Youth Awards- 2018) inayowatambua vijana wanaotumia teknolojia kuleta matokeo chanya katika jamii. Given ameshinda tuzo hiyo kupitia programu yake ya simu (App) ya Mtabe  inayowasaidia… (0 comment)

MultiChoice yatangaza fursa kabambe kwa wadau wa filamu .
Jumanne Machi 19, 2019:MultiChoice Tanzania imetangaza  fursa ya kipekee kwa wadau wa tasnia ya filamu Tanzania na barani Afrika kwa ujumla ijulikanayo kama MultiChoice Talent Factory Portaliliyodhamiria kuleta mapiduzi ya hali ya juu katika uaandaaji wa filamu zenye viwango vya kimataifa kutoka barani Afrika. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu hiyo, Mkuu wa kitengo cha… (0 comment)

Batiki from Katty Collection
Katty collection wakali wa African prints, wana material zote utakazohitaji kwa ajili ya mishono yoyote, from vitenge, batik, wax, woodin material, lace na nyingine nyingi. Pia Ni wataalam was kushona nguo za wote, men, women and kids Wanapatikana Mikocheni, Mwai Kibaki Rd. (Behind Master Club) Wafollow Instagram: @kattycollection  Open :Monday – Saturday8:00AM -7:00PM Mobile +255 757… (0 comment)